iqna

IQNA

maji ya zam zam
Tani 400 za maji ya Zamzam hutolewa kwa Msikiti wa Mtume huko Mjini Madina kila siku wakati wa msimu wa Hija.
Habari ID: 3477201    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27

Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa Saudi Arabia wanasema zaidi ya lita milioni 40 za maji ya Zamzam zitasambazwa katika Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid al-Haram) miongoni mwa Mahujaji katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476720    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/17